Msaada namna ya kufungua (unlock) Simu

BRO LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2011
Posts
837
Reaction score
628
Nimekosea namba ya siri hivyo simu imefungwa, nimeulizwa e mail na password lakini nikiweka naambiwa haiko sawa. Simu ni vodafone V75
 
Nimekosea namba ya siri hivyo simu imefungwa, nimeulizwa e mail na password lakini nikiweka naambiwa haiko sawa. Simu ni vodafone V75

Jaribu hii
 

Attachments

  • 1428566771778.jpg
    47.1 KB · Views: 251
nichek 0784-234391 nikuelekeze mara moja ni inshu ya 1minute
 
Nashukuru wote mlionisaidia, niliomba msaada kwa niaba ya rafiki yangu ila wakati namwelekeza akawa ana wasiwasi sana akaenda voda wakamsaidia ku unlock.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…