Msaada namna ya kudownload video Instagram kwa mtu ambae nimemfollow lakini account yake kaiweka private.

Lis

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
471
345
Wakuu natumaini hamjambo.naomba mnisaidie Hivi inawezaka kudownload video kwenye account ambayo Ni private.

Nilipoteza simu nikiwa Nina account ambayo nimeiweka private.but nimesahau password ya account na ya email nilotumia,so imekuwa Ni ngumu kuirudisha,nimeshafanya jitihada zote imeshindikana.

Kwa Sasa ninauhitaji msaada jinnsi ya kudownload video zangu nilizozipost coz ninazihitaji.asante kwa msaada wenu.
 
ungekua unataka msaada wa dili la kuingiza pesa ningekusaidia ila kwakua watanzania mnapenda followers kuliko kazi..kakae tu saloon piga picha mpya za nyuchi watalike tu
 
Aca
ungekua unataka msaada wa dili la kuingiza pesa ningekusaidia ila kwakua watanzania mnapenda followers kuliko kazi..kakae tu saloon piga picha mpya za nyuchi watalike tu[/QUOTE
Acha maneno yako, hizo video zenyewe Ni hela,zimefutika kila sehemu but sehemu pekee zilipobak Ni instargram, coz zinahitajika Kama sehemu ya kazi
 
ungekua unataka msaada wa dili la kuingiza pesa ningekusaidia ila kwakua watanzania mnapenda followers kuliko kazi..kakae tu saloon piga picha mpya za nyuchi watalike tu
Tafadhali nisaidie Kama unaweza please
 
Back
Top Bottom