Msaada namna ya kudownload ios bila WIFI Network

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,533
Reaction score
4,290
Habari zenu ndugu zangu wataalamu wa simu za ios ninatumia simu aina ya Iphone 5s ni wiki ya tatu sasa kila ninachokaribu kuinstall inagoma na kuniandikia ujumbe wa ku upgrade ios ila nimeshindwa nimejaribu kutumia hadi WIFI ila inagoma kuingia inaload then inarud kudai nidownload upya, Tafadhari naombeni msaada kwa anaejua namna ya kufanya
 
Attachments

  • image.jpg
    127.4 KB · Views: 68
  • image.jpg
    106.7 KB · Views: 67
IOS update hauwezi kuzidownload bila Wifi, tafuta wifi yenye connection nzuri na kama ni ya bundle basi iwe inatosha kwa hiyo file size. Pia hakikisha una space ya kutosha katika simu.

Njia nyingine ni kuinstall iTunes katika PC kisha kuconnect simu na PC kwa USB kisha tumia iTunes kufanya update, PC yako itahitaji internet connection.
 
Simu yako ni 5s ?
 
Atumie njia ya iTunes ni nzuri sana, OTA mara nyingi huwa inakuja na matatizo mengi sana
 
Nishajaribu hiyo ya WIFI ila inagoma bt kwa sasa nikiingia sehem ya ku update hailet kuwa lazima nitumieWIFI inaandika tu download ila nikijaribu inaload then inarud kawaida kudai ni download
 
Nishajaribu hiyo ya WIFI ila inagoma bt kwa sasa nikiingia sehem ya ku update hailet kuwa lazima nitumieWIFI inaandika tu download ila nikijaribu inaload then inarud kawaida kudai ni download

Tumia njia ya iTunes kama nilivyokueleza.
 
Nishajaribu hiyo ya WIFI ila inagoma bt kwa sasa nikiingia sehem ya ku update hailet kuwa lazima nitumieWIFI inaandika tu download ila nikijaribu inaload then inarud kawaida kudai ni download

Kuna njia mbili tu za ku-update, kutumia wifi ambayo utaunganisha kwenye simu au kutumia pc ambayo ina itune.
Kama njia ya kawaida imegoma, tafuta pc udownload itune then uconnect simu yako kwenye pc then ufungue itune. Simu yako itajitokeza then nenda kwenye update, hakikisha pc yako imekua connected na internet.
 
5S ilitakiwa idai ios 11 ndo latest update ya 5s , sasa nashangaa ya kwako inadai os chini ya hapo.. How ?
Hapo sasa sjui mkuu kiufupi sina ujuzi na Iphone kivile japo ni mtumiaji wa sim ya Iphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…