Mashine ya kunyolea OG = 120,000
kioo sheet 1 = 30,000
Vikorokoro vidogo,mafuta,sponje,machanuo,nk = 20,000
Kiti = 45,000
Kibanda (ofisi ya kazi) = 300,000
Benchi la wateja : 15,000
TOTAL : 530,000
hii ni gharama ya kufungua local local local saloon,makadirio yake usiwe na chini ya hiyo hela ili kufanikisha ufunguaji wa saloon ya namna hiyo na inabdi hapo usimamie mwenyewe kila kitu,ukisema utume mtu hata kitu kimoja Hiyo hela haitotosha kuna vitu hutonunua.