hermanjose
New Member
- Feb 28, 2020
- 2
- 2
Jaman naomba kufahamu napaswa kuwa na mtaji kiasi gani niweze kuanzisha saloon hii naomba jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna zile saluni za kisela zipo huku jijini Buza zetengenezwa kwa mabati chakavuMashine ya kunyolea OG = 120,000
kioo sheet 1 = 30,000
Vikorokoro vidogo,mafuta,sponje,machanuo,nk = 20,000
Kiti = 45,000
Kibanda (ofisi ya kazi) = 300,000
Benchi la wateja : 15,000
TOTAL : 530,000
hii ni gharama ya kufungua local local local saloon,makadirio yake usiwe na chini ya hiyo hela ili kufanikisha ufunguaji wa saloon ya namna hiyo na inabdi hapo usimamie mwenyewe kila kitu,ukisema utume mtu hata kitu kimoja Hiyo hela haitotosha kuna vitu hutonunua.
Biashara ikiwa local saaanaaaaa Kuna wateja hutowapataKuna zile saluni za kisela zipo huku jijini Buza zetengenezwa kwa mabati chakavu
1.Kiti cha kuzungukaMashine ya kunyolea OG = 120,000