Wakuu naomba mwenye kujua app ya android itakayoniwezesha ku lock torch ya simu ili kuzuia tochi hiyo kuwaka kwa bahati mbaya (mara nyingi hutokea wakati simu ikiwa sikioni )
Bila shaka simu yako itakua haina Proximity Sensor au ipo ila imekuwa disabled, kazi yake kuu ni kuizima display pale unapoweka simu sikioni ili isiweze kujibonyeza huwa inafanya kazi automatic ukitoa simu sikioni inawaka upya jaribu kuangalia settings za simu yako utakua umeizima au hakikisha jui ya simu yako kwenye sehemu ya camera ya mbele na speaker angalia kwa makini kama kuna kitu kama camera kinaonekana kama kipo basi ipo ila imekua disabled
Wakuu naomba mwenye kujua app ya android itakayoniwezesha ku lock torch ya simu ili kuzuia tochi hiyo kuwaka kwa bahati mbaya (mara nyingi hutokea wakati simu ikiwa sikioni )View attachment 1032545