Usiwaze mkuu!
Nenda kwenye chuo ulichopangiwa hapo awali, waombe wakupe barua ya kuonesha wewe sio mwanafunzi wao kulingana na sababu iliyokufanya ukaacha chuo kisha jaza form ya TCU ambayo wametoa kwa ajili ya case hyo then itume kama walivyoelekeza.
Nimekuwekea hapo form ya TCU unaweza ipata kwenye website yao au ukaipakua hapo chini na nime attach maelezo yote kwenye hyo document ya pili.