Wazee waungwana Mimi namba zangu karibu zote sizioni hasa baada ya kutumia GB WhatsApp kati ya na 400 na kitu zilizopo sahvi ni 111. Mwenye ujuzi tafadhali Niko stranded mno. Namba huwa nasave kwenye gmail..
Asanteni

Utakuwa umezificha mwenyewe bila kujua kwenye gmail kuna setting za kuchagua namba unazotaka zionekane au emails pekee au emails na namba zake hebu angalia hapo kwenye contact setting