W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 604 Feb 28, 2017 #1 Wakuu, Naombeni namba ya kuongea na mhudumu wa AIRTEL. Nilijaribu kupiga ile na 100, nimesikiliza hadi masikio yanauma sikusikia option ya kuongea na mhudumu.
Wakuu, Naombeni namba ya kuongea na mhudumu wa AIRTEL. Nilijaribu kupiga ile na 100, nimesikiliza hadi masikio yanauma sikusikia option ya kuongea na mhudumu.
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,505 Reaction score 2,745 Feb 28, 2017 #2 Hao wamshalizika hawataki chanhamoto za wateja wao, mkuu unaweza wapigia hata nusu SAA hawapokei
A Arope Member Joined Feb 23, 2017 Posts 6 Reaction score 3 Feb 28, 2017 #3 Nami niliwahi kupiga namba 100 lengo nilitaka niongee na mhudumu wa AIRTEL sikufanikiwa. Labda uende ofisini kwao
Nami niliwahi kupiga namba 100 lengo nilitaka niongee na mhudumu wa AIRTEL sikufanikiwa. Labda uende ofisini kwao