Msaada: Namba ya huduma ya Airtel

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Wakuu,

Naombeni namba ya kuongea na mhudumu wa AIRTEL. Nilijaribu kupiga ile na 100, nimesikiliza hadi masikio yanauma sikusikia option ya kuongea na mhudumu.
 
Hao wamshalizika hawataki chanhamoto za wateja wao, mkuu unaweza wapigia hata nusu SAA hawapokei
 
Nami niliwahi kupiga namba 100 lengo nilitaka niongee na mhudumu wa AIRTEL sikufanikiwa. Labda uende ofisini kwao
 
Back
Top Bottom