Jamani naomba msaada mwezenu nakojoa mkojo unakuwa wa moto mpaka unatoka moshi kama maji ya moto vile. mpaka naogopa mwezenu. Huu ugonjwa gani madaktari.
Hilo ni tatizo.
Una malaria kali lakn pia una kinga kubwa inayofanya usizione dalili za malaria kubwa but ni hatari.
Pima pia uti na mfumo wako wa uzazi.