Kama unaweza kuchomoa vile vichupa, vichomoe uende navyo. Unafungua mfuniko wa printer utaona vile vichpa vinasogea katikati. Viko viwili, cheusi na cha pink. So unavibenjua kwa juu vinachomoka.
Wale wa kujaza huwa wanavidunga sindano kuna kitobo fulani na kuinject wino.