You are welcomeThanks alot
Mkuu huyo kijana wako anatakiwa yeye aje na topic hata kama anakosea utaanzia hapo. Lazima ashughulishe kichwa chake ili awe na stake kwenye research atakayofanya. Chuo kina walimu na wanafunzi wenzake (wanaweza wakabrain-storm wenyewe). Akienda maktaba ataona wenzake waliomtangulia wamefanya nini. Wish her or him the best in the research world.Wakuu salaam zenu,
Ndugu nakijana wangu anasomaa Degree ya Human Resource, sasa wako kwenye kuandika research kaniomba nimsaidie kumtaftia mada ya kureseach. Naomba tu-brainstom kidogo ilinipate angalau mwangaza.