satellite JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 616 Reaction score 170 Jul 3, 2015 #1 Wadau habari! Nahitaji kununua Tablet aina ya samsung please anayejua/kuuza nicheki private tufanye biashara
Wadau habari! Nahitaji kununua Tablet aina ya samsung please anayejua/kuuza nicheki private tufanye biashara
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,732 Reaction score 104,941 Jul 4, 2015 #2 Kama pesa inaruhusu ungeenda Samsung shops kuliko kupigwa clone humu. Ila kama uko geek kwenye kudetect clone na vimeo sio mbaya. Weka more specs za hiyo kitu yu want kama screen size, ram, cam, etc
Kama pesa inaruhusu ungeenda Samsung shops kuliko kupigwa clone humu. Ila kama uko geek kwenye kudetect clone na vimeo sio mbaya. Weka more specs za hiyo kitu yu want kama screen size, ram, cam, etc
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Jul 4, 2015 #4 satellite said: Wadau habari! Nahitaji kununua Tablet aina ya samsung please anayejua/kuuza nicheki private tufanye biashara Click to expand... Usinunue samsung products mitaani mkuu utakuja kujutia pesa yako bure.nenda samsung store ununue tab original na warrant mkuu
satellite said: Wadau habari! Nahitaji kununua Tablet aina ya samsung please anayejua/kuuza nicheki private tufanye biashara Click to expand... Usinunue samsung products mitaani mkuu utakuja kujutia pesa yako bure.nenda samsung store ununue tab original na warrant mkuu
likeness Senior Member Joined Feb 9, 2014 Posts 153 Reaction score 42 Jul 4, 2015 #5 Tafuta Tablet S u won't regret