Kariakoo mtaa wa Msimbazi karibu na kituo cha mafuta cha Big Bon kuna duka linauza. Ukifika maeneo hayo ulizia mtu anaeonekana kuwa mwenyeji akuelekeze dukani kwa Saju.