Nahitaji msaada wenu ndugu zanguni, mume wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukura ya pata miaka 2 sasa, na tunahitaji mtoto ila imekuwa ni shida kupata ujauzito kutokana na hiyo hali yake,imefikia mhali mpaka manii hazitoki kabisa nisaidieni jamani.nawakilisha hili nahitaji mchango wenu.