Wa PM hawa hapa Hellen Stationeries au wapigie simu wako humuHabari wana JF biashara, naomba mwenye uelewa anisaidie nitawezaje kupata general supplier wa ream papers (karatasi za kuprintia A4) mondi (mfano tu) na nyingine yeyote, ili niweze kununua na kuuza kwa jumla kama wholeseller (35,000 to 36,000).
Pia anijuze nitapata kwa shilingi ngapi? Minimum order ni box ngapi, mawasiliano yao pia nitashukuru. Kama hapa haiwezekana naweza nikakutumia email yangu. Ahsanteni sana
Kama unataka kuagiza nje ya nchi angalia Www.alibaba.com
Mkuu angalia sana malipo ya western union unaweza kulizwa. Kabla hujanunua angalia huyo muuzaji ana muda gani hapo Alibaba (membership yake). Na feedback yake ipo gapi? Kama 100% mpaka kushuka 92% na membership yake inafika miaka 3. Basi huyo poa unaweza kununua kwake, lakini narejea usikubali western union muulize kama unaweza kulipa kwa PayPal kama unayo account yake. Au unaweza kufungua account ya mauzo/manunuzi ya Alibaba.Nashukuru sana, vipi kuhusu malipo wamenitaka kutumia western union payment, nitathibitisha vpi kwamba ninafanya malipo mahala sahihi.
Mkuu angalia sana malipo ya western union unaweza kulizwa. Kabla hujanunua angalia huyo muuzaji ana muda gani hapo Alibaba (membership yake). Na feedback yake ipo gapi? Kama 100% mpaka kushuka 92% na membership yake inafika miaka 3. Basi huyo poa unaweza kununua kwake, lakini narejea usikubali western union muulize kama unaweza kulipa kwa PayPal kama unayo account yake. Au unaweza kufungua account ya mauzo/manunuzi ya Alibaba.
Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
Feedback yake ipo vipi? Bora utumie PayPal kwasababu rahisi kurejeshewa hela yako. Kama jamaa atakuibia lakini nadhani hata account ya Alibaba pia wanaweza ku protect your account. Jaribu kununua sample ili uone kama ndio bidhaa unayoitaka, kwasababu unaweza kununua kwa hela yako yote. Halafu unakuta sio quality unayoitakaAmenitumia usajili wao, wamesajiliwa 2016, paypal nina acount tayari, ila naona hii ya mauzo/manunuzi ya alibaba itanifaa zaidi kwa kuwa ni wao wenyewe. Ngoja niwaulize kusuhu paypal. Ahsante.
Feedback yake ipo vipi? Bora utumie PayPal kwasababu rahisi kurejeshewa hela yako. Kama jamaa atakuibia lakini nadhani hata account ya Alibaba pia wanaweza ku protect your account. Jaribu kununua sample ili uone kama ndio bidhaa unayoitaka, kwasababu unaweza kununua kwa hela yako yote. Halafu unakuta sio quality unayoitaka
Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app