Msaada nahitaji kusafirishiwa makaa ya mawe

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
284
Reaction score
388
Wakuu habar za asbuh , Mwenye ujuz ,uzoefu na logistics au usafirishaji Wa makaa ya mawe naomba aje inbox tufanye biashara maaana nahtj huduma hyo. Ahasanteni.
 
Bei ya kusafirisha makaa ya mawe Hadi dar ni bei gani kwa tani 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…