Msaada nahitaji kuinstall window 7 kwenye HP proliant sever.

Msaada nahitaji kuinstall window 7 kwenye HP proliant sever.

kaburungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
3,914
Reaction score
7,409
Heshima kwenu nyote
Wandungu nna HP proliant sever ambayo nahitaji kuiwekea Window7 ili nipate kuitumia kama machine ya kawaida ishu ni kwamba hatua zote ambazo huwa nafuata kuinstall window kwenye PC nimezingatia lakini cha ajabu ni kuwa Machine hii (HP) inapofikia mwisho kabisa ili ili-restart inagoma na kwenye monitor inatokea rangi ya blue na zero nyigiiiii, wakuu kwa yeyote mwenye ufumbuzi wa hii kitu msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom