msaada: nahitaji kuhamia hurbert kairuki...ushauri wenu plz

msaada: nahitaji kuhamia hurbert kairuki...ushauri wenu plz

MUSSA GUETTA

Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
38
Reaction score
2
wadau naomba mnishaur...iv naweza hamia chuo cha
hurbert kairuki bila ya kupitia TCU i mean...niende
moja kwa moja chuon nichek utaratibu..maana hawa
TCU online siwaamin kabisa kwa walichonifanyia kwny
udahili...nina B plain zote na ni PCB...ushaur wenu
wadau...ahsanten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom