Hahahaha yaani kweli eti mfanyabiashara wa level hiyo ya kiwanda eti asijue hata packages zinapatikana wapi.ina maana hajawahi kufanya survey ya aina yoyote.Hakuna biashara hapa. Niitwe hater nishakubali
Basi hata salamu tu [emoji23][emoji23]Sisemi kitu
Mi mgeni Dar! Viwanda hivyo vya plastic viko wapi? Na hao wataalamu wengi ni akina nani? [emoji848][emoji23]Packages mbona zipo kibao kariakoo huko ama kwenye viwanda vya plastics..kuhusu label watalaam wapo wengi Sana
Juice yako itakuwa ya matunda gani.. natamani iwe kweli nitakuwa mdau wako mkubwa
Sawa, Nashukuru [emoji26]Hakuna biashara hapa. Niitwe hater nishakubali
Ni PM nitakupeleka mpaka kiwandaniMi mgeni Dar! Viwanda hivyo vya plastic viko wapi? Na hao wataalamu wengi ni akina nani? [emoji848][emoji23]
Mbona wamkatisha tamaa!Hakuna biashara hapa. Niitwe hater nishakubali
Sio mtoto huyo mkuu.Ni PM nitakupeleka mpaka kiwandani
Kwahiyo wewe huwezi kumpeleka baba yako au Kaka yako sehemu fulani kwasababu ya utu uzima wao?Sio mtoto huyo mkuu.
Kama umesharasimisha Biashara ni rahisi.Hello,
Nimerejea tena jukwaani baada ya ban la wiki tatu [emoji23] hakika niliwamiss sana[emoji18]
Nahitaji kufanya biashara ya kutengeneza juisi, kuzi pack na kuzisambaza madukani kwa oda maalumu. Juisi zenyewe ni za matunda hayahaya asilia. Mtaji ninao tayari! [emoji126][emoji126]
Msaada ninaouhitaji:
1. Ni wapi naweza pata vichupa maalumu vya plastic size ya kawaida tu, mfano wa vile vya maji ya 500?
2.Pia wapi nitawapata watu wa kunitengenezea vile vikaratasi vya maandishi vinavyozungushwa kwenye chupa? Nahitaji kuviwekea picha yangu mimi na maandishi ya kutambulisha juisi yangu.
3. Gharama za kila kichupa na pia gharama za kila kikaratasi cha maandishi (label). kwa hapa Dar lakini.
Msaada tafadhari! [emoji26]
Hili ndo tatizoMi mgeni Dar! Viwanda hivyo vya plastic viko wapi? Na hao wataalamu wengi ni akina nani? [emoji848][emoji23]