Msaada: Nahitaji kufanya biashara ya blog

Estyzo

Senior Member
Joined
Jul 24, 2011
Posts
158
Reaction score
39
Habari zenu wadau,

Kutokana na uhaba wa ajira TZ sio siri kujiajiri ndio suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazan muda mwingi nautumia mtandao hivyo hii shughuli itanifaa naomba kwa wanaojua biashara hii kwa maeneo yetu tulipo inafanyikaje mpaka ikuletee faida kabisa jinsi ya kupata viewer wengi kwenye blog yangu.

natanguliza shukrani,
 
Nafikiri hapa hujafanunua poa una blog tayri ama badoo kabisa
 
nafikiri hapa hujafanunua poa una blog tayri ama badoo kabisa
Ninayo blog tayari ila sijajua jinsi ya ku generate traffic kubwa ukizingatia competition iliyopo ya blogs
 
Viewer wengi hadi uwe na content ambayo itavutia watu kuangalia.... bila hivo unapoteza muda...
Advertisement ya blog, inabidi uitangaze social networks zote kila siku, unapost something new, unaisambaza watu waone, usikae ukadhani watakufata.... u have to make them come back.. Tyr una idea ya blog au???

Update: Bac kama blog unayo its obviously either idea sio nzuri au jinsi ulivoipangilia, au second unacopy na kupaste za watu, mtu haoni haja kuja kuitafuta blog yako huku alishasoma the same thing kwingine tena palipo pangiliwa vzr... au hujaisambaza popote unasubiri watu waitafute...
 


Mkuu umesema vizuri naomba niongezee hapo

Swala la kucopy na kupaste sio ishu kabisa kwanza unauwa SEO ya blog yako kama umefanyiwa lakin hata kama hujafanyiwa recommended ufanye, pia swala la social network hapa ndilo litakufanya wew upate visitor wengi kwa siku ila pia na content zako zitachangia kingine kikubwa swala la muonekano wako ni jambo amablo liko ndani ya uwezo wako tafuta kitu ambacho uko wew mwenyew.

Kuna baadhi ya site mfan themeforest wanauza template safi sana lakin kama hujui kudesgn kuna jamaa anaitwa Young Master anajua kuanzia Desgning mpk SEO ambayo itakufanya uwe unapata visitor wengi kutoka google jaribu kumpm ama ni pm nikupe numbe zake kingine sasa mabo ya ngono yaani picha za uchii kabisa hapo utakuwa unajizibia riziki kupata matangazo

Labda ungetoa link ya blog yako tuione kwanza n

nawaslisha mkuu
 
cc12 inaitwa mchambuzihalisi.blogspot.com
 
Last edited by a moderator:
cc12 naomba namimi unipm unipatie no ya youngmaster.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…