Very simple!!
Zisanii (unda mwenyewe nyumbani) yaani tafuta kijana (msichana/mvulana wape ajira) mwenye vidole vyepesi kutengeza vifugishio.. halfu kusanya materials hapo unawapa box moja as sampo...
Waige kutengeneza... kubali kuwa box 1..2..3 hazito kuwa biyeen!! Ila box zijazo zita kuwa best!! Hapo nahakikisha utaweza produce line nzuri za mabox!!
Hongera