Gharama ya kutengeneza web kama kaymu inaweza kuwa ndogo kwanzia 500k-5m ila kuo run sio pesa ndogoo....watu wengi wamefungua haswa kko ila imewashinda kurun..sio kazi ya mtu mmoja au wawili it needs a team haswa kwa Tanzania mana wajuzi ni wachache na hata IT yetu hawana experince ya ku run unless wana exposure kidogo... nime kiandikia hvi kwa sababu usije poteza hela kutengeneza kitu huwezi endesha ....kuna supermarket imeanzishwa juzi kati wana fungua ecomerce yao hapa bongo pia... na wameliona nacho ongelea na wamelifanyia kazi kwa kuwatafuta wafanyakazi wa mmoja wapo ya ecomerce kubwa hapa bongo ili wawe staff wao.....