MSAADA: Nahisi natapeliwa

Bila shaka utakua mwanachadema maana ndio kila uchaguzi wanakua na ndoto ya kushika dola wanaishia kuwa na za kimarekani tu
 
Kutoa fungu la kumi mwisho lini?
 
Single Father umenikumbusha miaka ya Nyuma walimu wa Vijijini walikua wakistaafu wakilipwa Pension zao wanachukua zile briefcase 💼 wanaweka hela wanazunguka nazo mitaani..ela zikikaribia kuisha wanaanza kufanya biashaea ya kukopesha kwa Riba then wakopaji wote wanapotea na ela mwisho wa siku mtu anabaki anafanya vibarua😀
 
Onesha ushahidi wa muamala uliotuma acha kutuchezea hapa
 
Bila shaka utakua mwanachadema maana ndio kila uchaguzi wanakua na ndoto ya kushika dola wanaishia kuwa na za kimarekani tu
Hapo ndo Jamaa hua wananiacha Hoi yani…they exactly know hakuna tume Huru lakin kila baada ya miaka mitano wanakuwa na matarajio ya kushika Dola😀😀😀…Bora Dkt Bashiru alietumia Dola kubaki kwenye Dola😆😆
 
back to square one
 
Hela wanapiga wao au wewe? Piga hela kabla ya kutoa, la sivyo wao ndio watakaopiga hela.
 
Bila shaka utakua mwanachadema maana ndio kila uchaguzi wanakua na ndoto ya kushika dola wanaishia kuwa na za kimarekani tu
Michepuko yako inaendeleaje??
Umesolve!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…