jamani wanajf mm ni mhanga wa watu waliobiwa kwani ninakabuguru kangu ambako nimeamua nikafanyie wayaringi baaada ya kupata hela yangu ya msoto wa tumbaku lakini chaajabu fundi ananiambia soon baada ya kufanya wayaring atachora raman ambayo itaenda kugongwa MUHURI kwa tsh 50000 nakumbuka miaka 2 nyuma muhuri huo huo niligonga kwa tsh 5000, Huu ni wizi mkubwa kwani meneja wa taneassco wilayani urambo akishirikiana na magobacholi w enzake ndio wameanzisha wizi huu. MHE: KASIM MAJALIWA NA MHE ; RAIS MAGUFULI TUMBUENI MAJIPU haya yameanza kumwaga usaha
nawasilisha
nawasilisha