Buza Kwa Mpalange
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 268
- 156
Pole sana, maisha ya dar ni magumu sana, wengi wenye biashara ndogondogo wanaishia kupata pesa ya kula, huwezi kusave pesa. Kama una ndugu kwenye mikoa mikubwa ukiondoa Dar, nenda ongea nae mpe wazo lako la kufanya biashara ndogo ndogo labda, baada ya miezi 3 utakuwa kwako. Gharama za maisha huko zitakuwa ndogo na kidogo kidogo utafanikiwa kama ukiwa na nidhamu ya pesa.
Nikweli. Dar kila kitu ni pesa hadi maji ya kunywa. Pia Dar hakuna biashara mpya, so ndani ya eneo moja ujasiriamali wa hapo, utaukuta ni huohuo ukipiga hatua za mita 100 mbele. Kwamaana hiyo wanagawana kipato na kila mtu anapata pesa ya kumwezesha kufika kesho. Labda wale wanaouza kwa jumla kama wanaomwaga matunda( water melon, mihogo n.k)Dar ugumu zaidi mie nauona kama ni sehemu ya kulala aisee!
Nikweli. Dar kila kitu ni pesa hadi maji ya kunywa. Pia Dar hakuna biashara mpya, so ndani ya eneo moja ujasiriamali wa hapo, utaukuta ni huohuo ukipiga hatua za mita 100 mbele. Kwamaana hiyo wanagawana kipato na kila mtu anapata pesa ya kumwezesha kufika kesho. Labda wale wanaouza kwa jumla kama wanaomwaga matunda( water melon, mihogo n.k)
Ha ha ha haaaa, dogo mbona una kipaji cha kuandika riwaya? Nimecheka sana jinsi unavyohadithia! Ungemtafuta Shigongo labda anaweza kukupa deal la uandishi wa riwaya! Shida yenu vijana mkimaliza shule mnakimbilia mjini kwa kaka zenu au shemeji zenu badala ya kukaa vijijini mkapiga kazi za shamba! Shamba mbona kwa mtu mwenye elimu linamtoa tu hila shida kabisa na huko pia kuna fursa za kuwa mwenyekiti wa kijiji au baadaye diwani kabisa! Toka mjini dogo urudi kijijini kwenu!Mimi si muamdikaji mzuri