Msaada na Ushauri: Ninasumbuliwa na allergy

Hassaan

New Member
Joined
Jan 5, 2020
Posts
1
Reaction score
0
Naitwa Hussein nipo Arusha, ninasumbuliwa na allergy ambayo nawashwa sana koo na wakati mwingine natokwa na kwenye fizi nimekuwa natumia Predinisolone.

Tangu 2014 zinanisaidia kidogo, je nifanye nini ama nitumie dawa gani itakayonisaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda Hosp au na majina ya hosp tukutajie?
 
Nenda hospital ila mi allergy yangu ya vumbi huwa nakula cetrizine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…