Mimi niliwahi kusikia eti ukitaka kujua ukubwa au udogo wake "tazama ukubwa wa upenyo wa kidole gumba na kinachofuata" mguuni!!
hahaha watu mnamambo...
Mimi niliwahi kusikia eti ukitaka kujua ukubwa au udogo wake "tazama ukubwa wa upenyo wa kidole gumba na kinachofuata" mguuni!!
Ni kweli ukiona mdomo mpanaaaa,jua loooh!!!!kama kibamia usijaribu
Me nikiangalia pua najua mzigo ulionao