JaphetJacob
Senior Member
- Dec 11, 2015
- 106
- 121
tena masters nzuri kabisa ya science daahHivi unasomaje masters bila kuwa lectures, hiyo elimu ya masters ina msaada gani kwako
Na wewe utuambia maana ya kua lectures Ni nini?Hivi unasomaje masters bila kuwa lectures, hiyo elimu ya masters ina msaada gani kwako
Inaonekana ni member mtiifu wa JF umejoin humu ukiwa na 19 years of age (Dec 11, 2015) naamini utapewa ushirikianoNimezunguka sana maofisini kutafuta kazi lakini sijapata, mwenye fursa yoyote iwe ya kilimo, ufugaji, ofisi, biashara au chochote anisaidie;
Below are details:
Umri: Miaka 26
Elimu: B. Sc Chemistry and Biology
Masters of Science in Chemistry
Makazi: Kimara, Dar es Salaam
Experience: Research activities based on writting proposal, concept notes, manuscript na proofreading research za wanafunzi
Contact details: 0757595433
Best Regards,
Hahaha typing error.Na wewe utuambia maana ya kua lectures Ni nini?
Duuh master huna kazi ?
Mzee baba uliiunganisha nini ukajisomesha mwenyewe maana kama ni scholarships lazima kazi iwepo
Dahpole sana mkuu yani hii nchi ni yakipuuzi sana mtu ana shahada mbili lakini hana kazi
Mungu ni mwema utapata mkuu,twende tukajaribu nafasi za kazi kwenye mradi wa kuchimba mafuta Rukwa ndugu mkemia
Mafuta rukwa, tupe taarifa kamili. Mi najua Kuna wese na hellium sehemu moja, bado hakuna uhakika Nani apeweMungu ni mwema utapata mkuu,twende tukajaribu nafasi za kazi kwenye mradi wa kuchimba mafuta Rukwa ndugu mkemia