Msaada mzumbe university- Morogoro

advocate kiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
259
Reaction score
90
Guys p poleni na majukumu
Nina mpango wa kujiunga na sheria ngazi ya cheti katika chuo hichi cha mzumbe

Nilikuwa nauliza kwa mwenye uzoefu na mazingia ya pale. Upatikanaji wa materials, upatikanaji wa hosteli, gharama za maisha n,k

Ahsanten sana
 
Hivi kuna wafunzi wa cheti pale Morogoro?!!
 
Chuo kipo ndichi sana. Kutoka stendi ya zamani hadi chuoni ni Tshs 900 kwa daladala.
 
Karibi sana mzumbe, material yanapatikana kwa wingi, hostel ndani zipo ukitaka za nje pia zipo, vyakula vipo vingi, njoo utainjoi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…