Msaada mwisho wa kuapply vyuo kupitia TCU

Msaada mwisho wa kuapply vyuo kupitia TCU

SAID MAURID

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
54
Reaction score
25
Hivi jamani mbona kwenye guide book ya TCU sijaona mwisho wa kuomba vyuo?

Ina maana hamna mwisho au mfumo unakuwaje?
 
Nahitaji kujua deadline ya kufanya maombi katika site ya TCU kwa wale form 6. Yeyote naomba anisaidie maana kwenye guidebook nimeshindwa kupata hiyo information.
 
Naomba msaaada kuhusu tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ya vyuo kwa wale form 6
 
Eti lini deadline ya kuaply vyuo. Tarehe I mean ni mwez huu au ujao
 
Dah!Mpaka leo hakuna anayejua mwisho wa ku-apply ni lini.Vijana wanawekwa majaribuni mno.
 
Deadline walisema itakuwa one month after commencing of application ,so the truth,deadline ni tar 20.8.2016
 
Deadline walisema itakuwa one month after commencing of application ,so the truth,deadline ni tar 20.8.2016
You may be right lakini wanatakiwa kuandika tarehe ya mwisho na kwenye CAS upande wa kulia kuna KEY DATES kwa nini wasiliandike hilo?
 
Back
Top Bottom