Msaada mweye kujua bei ya betri ya iphone 4.

Msaada mweye kujua bei ya betri ya iphone 4.

Mi najua original hazina betri,na hata siku moja sijaaikia iphone inatatizo la betri.kwa upeo wangu labda kama sijui vizuri.
 
Iphone 4 inatatizo la betri?
Unahakika iphone yako ni original? Na kama ni original unahakika tatizo ni betri?
 
Kaka iPhone yako nausi sio original natumia iphone 4 hata sijui hilo betri linakaa wapi ichunguze vizuri mkuu na iphone original huwa hazifi kijinga jinga
 
Mi najua original hazina betri,na hata siku moja sijaaikia iphone inatatizo la betri.kwa upeo wangu labda kama sijui vizuri.
Hata km orginal inakuwa na betrii za ndani kwa ndani kusema iphone orginal haina betrii sio kweli ila sasa replacement yake mpaka ifunguliwe na watahalam km uko dar pale posta yupo mhindi mmoja anakuuzia na anakuwekea
 
Back
Top Bottom