a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 400
- 673
Wasalaam,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,naomba msaada kwa mdau atakayekua na huo wimbo NIZIKWE HAI ulioimbwa na wasanii wawili wa bongo fleva(MANDOJO NA DOMO KAYA).Kadhalika wimbo wa JAY MO unaitwa NARUDI SHULE...(angalizo sio ule maisha ya boding).nimezitafuta nyimbo hizi muda mrefu bila mafanikio,pia kama utanisaidia na ule wa DANI MSIMAMO(HAWAPENDI)..jina silikumbuki,ila unazungumzia wanga wasiopenda jamaa afanikiwe(dan msimamo).NATUNGULIZA SHUKRANI.