Msaada: Mwenye possible za mitihani ya form six NECTA 2016 hasa practical kwa PCB

Hivi nani hana akili? wewe unataka possible au aliekuambia kasome! ni dogo lako sawa! wewe kaka kilaza kweli! Mwambie asome! unamtafutia possible? alikuwa wapi asisome!? Wewe mwenye akili endelea kumwombe possible! mwambie asubiri atapata possible
 
Ukute we mwenyewe hapo unatumia cheti cha marehemu
 
Kwani kutusua ndio kwenda Muhimbili pekee acheni majungu yenu kama hamna msaada pigeni chini
 
umenikumbsha mbali sana, kpindi kileeeeeeeee, tulikuwa hatulali, ni kusaka possible nje ndani!!!
Waambie hao wamezidi kuponda utafikiri hata basi hiyo six wamefika, ukute wangine mangwini kisha wameondoka na O
 
kusoma pcb ndio inamaanisha uibe mtihani?? ficha upuuzi wako wewe mtoto
Nani kasema kuiba mtihani dogo anataka possible after all NECTA wenyewe hua wanazitoa hizo area of concentration ili wanafunzi wajipange zaidi
 
Hahahaha PCB hawa si wataua wagonjwa hawa
Acheni ufala nani kasema Doctor of medicine as a 10 semesters with one year of interniship ina absolute relationship na PCB
 
Acheni ufala nani kasema Doctor of medicine as a 10 semesters with one year of interniship ina absolute relationship na PCB
Inaelekea wewe ndio fala sasa sababu ufala ndio tabia yako basi unadhani kila mtu ni fala kama wewe...
 
Watu bana! Ok! bora ujinga usio na hasara kuliko elimu isiyo na faida! Possible, possible! kama NECTA huwa wanatoa(sihawahi ona, ninachojua waalimu wa somo huwa wanatoa hints tu ) Kwann msiwasubiri hao NECTA walete!? Very simple tulia subiri NECTA watoe hints! Kasome! we kama mwanafunz saa hizi unajibu comment za watu hapa ukisubiri possible, nadhani 0 inakunukia!
 
Anyway possible ni two sides result, iwepo su isiwepo! nikuombee tu kwa Mungu ukipata hiyo pocble na ikawepo sawa, yote kheri! lkn sio ndio uti wa mgongo, pitia sana previous practicals wanatabia ya kurudia hasa ya 2 to 3 years past! Mtihani mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…