Msaada: Mwenye possible za mitihani ya form six NECTA 2016 hasa practical kwa PCB

Chizi wewe,kama hujasoma hujasoma tu labda kama unataka kutumia hela
 
umenikumbsha mbali sana, kpindi kileeeeeeeee, tulikuwa hatulali, ni kusaka possible nje ndani!!!
 

Twitter hatuwataki...wabaki facebook..!! Mkuu usishangae akaja kuwa dokta huyu dogo!! Hakyanan tutaisha...
 
daaah sikuwahi kuzania kuwa watoto wa form 6 wanaweza kupatikana Jamii forum
 
Duuuh Elimu yetu ndo bas tena
 
Hao ambao wanajifanya kumuita mleta mada kilaza ni wazi kwamba hawajasoma so wanalopoka tu, na km wamesoma basi itakuwa arts, ata uwe kichwa vp darasani mitihani ya practical razima ushiriki kwenye pocbo, mnajitia ushujaa msioujua, shule zote ata walimu wanashiriki kuwatafutia wanafunzi wao possible za mitihani ya practical ata iwe st marry, mmeshazitumia alafu mnakuja hpa kujifanya mmekuwa kina ndalichako, wewe unaejiona genius na vijimaneno vyako hapa kaa ukijua at km una mtoto dokta muhimbili jua kuwa mtihani wa form 6 practical aliingia kuufanya huku anajua majibu........
 
umenikumbsha mbali sana, kpindi kileeeeeeeee, tulikuwa hatulali, ni kusaka possible nje ndani!!!

Nimekusoma mkuu, hawa wanaojifanya mahodari wa kumuita mwenzao kilaza hawana wajualo, hakuna mwanafunzi ambae waga anabweteka hiki kipindi ata km alikuwa kichwa vp class, kutafuta possible form 6 na udokta vina mahusiano gani, hiki kipindi cha magufuli watu tunanifanya wajuaji sana
 
Ni kwel kaka, ilkua hivi, unaeza jifanya kichwa, hutak na unadharau possible, wenzio wakazitafuta, waka-solve af kesho wakaikuta kwny paper copy & paste. Hakuna mjanja juu ya hili
 
Aisee!! Sijui wengine huwa wanaenda shuleni kujifunza ujinga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…