duu umenikumbusha kipindi nipo advance hicho kipengele cha ac ni moja vitu ambavyo vilinishinda kwenye physics.
kwani we uko wapii?... kama unaweza tafuta pam la mwalimu mmoja anaitwa muddy, sijui saiz yuko wapi ila ndani ya dar es salaam...huwa anafundisha sana.
Hizi tuition za physics.