Msaada mwenye kujua vipajilink walipo

Ekikunila

Senior Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
120
Reaction score
35
Naomba kujua office za hiyo vipajilink(on behalf of the crient) je wanashugulika na nini na ofisi zao zipo wapi? mwenye kujua anisaidie
 
Ni matapeli kama walivyo ero link, wapo maaeneo ya moroco dsm (new b'moyo rd)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…