Asante mkuuMpeleke hospital mtoto akaonwe na daktari wa watoto
Asante sanaMpeleke hospital mkuu haraka.
Usichelewa bro huyo mpeleke hospital uwo ugonjwa naujua ila sitaki kusema apa mbele ya kanamdasi ila huwa inahusiana na ubongo kuna kitu huwa kitokea kwenye ubongo so kuna dawa utapewa
Usichelewa bro huyo mpeleke hospital uwo ugonjwa naujua ila sitaki kusema apa mbele ya kanamdasi ila huwa inahusiana na ubongo kuna kitu huwa kitokea kwenye ubongo so kuna dawa utapewa
Acheni masikhara kwenye issue serious nyie watu.Hata mimi, nmeamua kukaa kimya mjuba asije kupanick. Ila amuwahishe tu “sibital
Wewe ni Mimi Mkuu....Wahi hospital mkuu wangu napenda sana watoto naomba Nenda hospital kaone specialist wa watoto mkuu wangu ...nitashukuru kama binti atapata matibabu ..Kila la kheri mkuu
Pole sana ndugu yangu, huko si kusinzia bali huyo ana kifafa mtu mwenye kifafa akidhirai huwa anapumua kwa nguvu sana ndugu yangu, vipi lakin hiyo hali haijawah kumkuta wakati wa mchana?Habari za jioni wakuu
Ninaandika hapa nikiwa sina amani kabisa. Mwanangu wa kike miaka 7 anaumwa ugonjwa unaotutisha. Usiku akiwa amelala kuna muda anakoroma sana tena kwa muda mrefu...
Asante sana mkuu. Haijawahi kumtokea mchana au hata usiku akiwa hajalala. Mchana yuko kawaida tu na afya yake. Anaenda shule na anacheza na wenzake kama kawaidiaPole sana ndugu yangu, huko si kusinzia bali huyo ana kifafa mtu mwenye kifafa akidhirai huwa anapumua kwa nguvu sana ndugu yangu, vipi lakin hiyo hali haijawah kumkuta wakati wa mchana?
Mwepushe sana asiwe analala kifudifudi ili ikitokea asije lalia pua
Hii hali huwa ni mawasiliano ya umeme kwenye ubongo yanakata. Kuna wengine huwa wanatumia vidonge ili kupunguza hiyo ghasia inakuwa dozi ya maisha
Pole sana ndugu mpambanie mtoto kwa kumtafutia tiba iwe hospital au kokote we tafuta tiba ya mtoto daa pole sana ndugu mungu akupambanie uweze kupata tiba ya mtoto