Uongo mwingine bwana hii habari.si yako wewe??? Karibu jf where we dare to talk openly...
mamaafacebook unajua kundaganya nako ni kipaji, la sivyo utakamatwa mara moja!! kama dada yangu hapa.
Jamani whatever it is cha muhimu ni ushauri,
Asante mamaafacebook nishakaribia
consultation fee sh 10000 kama upo tayari ni pm
Cjajua bado kuquote ila ntaelewa kidogokidogo. Jilala asante , ila kila akimuuliza mbona cku hizi umebadilika, anachojibu ni kwamba hakuna tatizo lolote, mambo tu yamekuwa Mengi. Hivyo anashindwa amuelewe vipi
Wewe utakuwa mmbea sana kama kwa mara ya kwanza umeingia tu huku na kuanza kutoa story za maisha ya watu
princessrahma mbona kichwa cha habari kinakuhusu wewe ila habari yenyewe inamuhusu rafiki yako?
Anyway jaribu kuongea nae (aongee nae) ni kitu gani asichokipenda kutoka (kwako)??