Eti samahani wadau, mtu akipata 4 ya 26 katika ya Civics - C, History - D, Kiswahili - C, Bios - D, English - C na Geography D, hapo anatakiwa aende chuo gani na kusomea nini?
Eti samahann wadau, mtu akipata 4ya 26 katika ya civics c, history d, kiswahili c, bios d, English c na geography d, hapo anatakiwa aende chuo gani na kusomea nn?