kitali JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 6,362 Reaction score 9,679 Aug 21, 2018 Thread starter #41 Smt016 said: Tupe mrejesho juu ya mtoto wako Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu mtoto alikuwa kumbe anasumbuliwa na aleg. Kanyimwa kula vitu vingi sana na kikohoz kikaisha mzee
Smt016 said: Tupe mrejesho juu ya mtoto wako Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu mtoto alikuwa kumbe anasumbuliwa na aleg. Kanyimwa kula vitu vingi sana na kikohoz kikaisha mzee
Deuspeter Member Joined Apr 9, 2016 Posts 6 Reaction score 5 Oct 20, 2021 #42 kitali said: Mkuu mtoto alikuwa kumbe anasumbuliwa na aleg. Kanyimwa kula vitu vingi sana na kikohoz kikaisha mzee Click to expand... mtoto wako alipata tiba gani, Mimi Nina mtoto wa kesi km yako
kitali said: Mkuu mtoto alikuwa kumbe anasumbuliwa na aleg. Kanyimwa kula vitu vingi sana na kikohoz kikaisha mzee Click to expand... mtoto wako alipata tiba gani, Mimi Nina mtoto wa kesi km yako
B BRB JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 383 Reaction score 888 Dec 6, 2021 #43 Deuspeter said: mtoto wako alipata tiba gani, Mimi Nina mtoto wa kesi km yako Click to expand... Nasubilia jibu mdau, namimi mtoto wangu ana tatizo kama hilo. Baadhi ya dawa ambazo tumeishatumia ni hizi hapa. Saa kumi za alfajili, mtoto anakohoa, usingizi kwangu umekata
Deuspeter said: mtoto wako alipata tiba gani, Mimi Nina mtoto wa kesi km yako Click to expand... Nasubilia jibu mdau, namimi mtoto wangu ana tatizo kama hilo. Baadhi ya dawa ambazo tumeishatumia ni hizi hapa. Saa kumi za alfajili, mtoto anakohoa, usingizi kwangu umekata
Negemu Senior Member Joined Dec 26, 2017 Posts 142 Reaction score 142 Dec 16, 2021 #44 Tupe Feedback ilikuwa alerge ya nn mkuu, wangu tatizo haliishi,Hadi nimekata kimeo lakini Bado anakohoa kikohozi kikavu
Tupe Feedback ilikuwa alerge ya nn mkuu, wangu tatizo haliishi,Hadi nimekata kimeo lakini Bado anakohoa kikohozi kikavu