Msaada: Mtoto kukohoa sana usiku

jaribu kutumia hii kikonyo cha mkungu wa ndizi (sina uhakika na jina).



Unaichoma na kutengeneza unga mweusi, changanya na unga wa magunzi yaliyochomwa pia, usisahau chumvi kiasi ya kuleta utamu kiasi.
NB: Wingi ama kiwango, ni wewe mwenyewe, maana hutumiwa na mtu yeyote, tumia mara kwa mara mpaka tatizo litakapo koma. Sisi wahenga ndiyo dawa iliyotukuza.

PAZIA 3
 
Asa
Asante
 
Badilisha maji ya kunywa unayompa, kikohizi mara nyingi kinasababishawa na maji ya kunywa, kuna wengine baadhi ya maji hayawafai ndio inasababisha wakohoe sana ata wakitumia dawa haiwasaidii mpaka wabadilishe maji ya kunywa
 
Mpeleke muhimbili hosp huenda ni TB
 
Alisha
alishachukuliwa Dr wao wanasema ana infaction
Sasa kama daktari kishasema ana "infection" yaani maambukizi fulani ina maana tayari keshafahamu tatizo hilo kwa maana microbes (vijidudu) wanaosababisha. Endelea kufuata ushauri wa daktari.

Umesema ni wiki nne toka umpeleke hospitali halafu wadai dawa zote zimegoma. Hapana, wiki 4 ni muda mfupi kwa kuja na hitimisho hilo. Ni dawa chache utakuwa umeanza kutumia. Dawa huwa zina levels (generation). Madaktari huanza na za level ya chini kabla ya kwenda za level ya juu endapo wadudu (microbes) wanapoonesha utata ktk dawa za mwanzo.

Jitahidi uwaamini watu waliopoteza umri wao kusomea afya ya mwanadamu, usiwe mwepesi wa kuambiwa na mtu yeyote wa kawaida au hata muuza dawa tumia dawa fulani. Wawezapatwa na madhara kwa kutumia dawa pasi na ushauri wa daktari.
 
Ngoja nijaribu kump
ngoja nijaribu kumpa dawa ya minyoo asante
Achana na utaratibu wa kufanyia majaribio mwili wa mwanao hata wako. Hospitali ukienda jieleze vema kwa daktari, akiona umuhimu wa kumpima minyoo mtoto atafanya hivyo na hapo patakuwa na uhakika kama ana minyoo au la. Na kama ipo utapata dawa inayoendana na tatizo husika.
 
Ngoja nijaribu kump
ngoja nijaribu kumpa dawa ya minyoo asante
Achana na utaratibu wa kufanyia majaribio mwili wa mwanao hata wako. Hospitali ukienda jieleze vema kwa daktari, akiona umuhimu wa kumpima minyoo mtoto atafanya hivyo na hapo patakuwa na uhakika kama ana minyoo au la. Na kama ipo utapata dawa inayoendana na tatizo husika.
 
UMENIKUMBUSHA NYUMBANI KAGERA, UMENIKUMBUSHA DAWA NILIYOKUWA NIMEISAHAU, ALINIFUNDISHA BI MKUBWA HIYO.
 
Hii dawa ni nzuri mno na hii akitumia kama bado anakohoa itabidi ageukia mitishamba. Bei yake ni kwenye 12,000
Sure ni zaidi ya nzuri. Nilitumia mara moja tu mpaka leo sijawahi kukohoa. Nina hakika akitumia ataleta feedback hapa. Bei yake iko juu sababu ya ubora wake.
 
MUCUS IS THE UNDERLINE CAUSE FOR ALL DISEASE
If the Mucus goes to your bronchial tube,the call it Bronchitis.
Mucous comes from the food you eat.

Mkuu ikiwa Mtoto wako hajapona basi nitafute mimi nipate kumtibia ili aweze kupon haraka.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App +905013460377 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au bonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Tupe mrejesho juu ya mtoto wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…