Mkuu, Hatumpi hivyo hivyo, Tunaipunguza makali baada ya kui-blend, Tunachukua maji safi na salama ya moto kiasi tunaichanganya na asali mbichi, Anaitumia kama juisi, kijiko kidogo kutwa mara 3.
Mkuu, Tunaipunguza makali, Baada ya kuisaga au kui-blend tunatia maji safi na salama ya moto kiasi tunatia na asali mbichi halafu anatumia kijiko kidogo kutwa mara 3
Kwani alishachukuliwa kipimo cha makohozi?Nimetumia mkuu lakin baada ya muda mfupi kinarud
Kidaka tonge ndo kilimi au?View attachment 790966 JARIBU KUANGALIA KIDAKA TONGE HUENDE HUWA KINAREFUKA.
alishachukuliwa Dr wao wanasema ana infactionKwani alishachukuliwa kipimo cha makohozi?
Umeshamuangalia kama hana kilimi?
Vipi kuhusu chemba moyo?
Kuna tumaua fulani twa kijani ni tu-magugu huko Kagera tunaitwa "Mwigara" huwa tunamkamulia vitone puani na mdomoni mtoto lakini sina picha yake ningekutumia uione.
Hata hilo neno Mwana GTLabda ana minyoo
ndiyoKidaka tonge ndo kilimi au?