Rafiki yangu tumia programu yoyote ambayo inakuwezesha kudownload kwa haraka pia inaweza kufanya resume kama net imekata au umeme kwahiyo baadaye unaweza kuendelea kudownload kama www.internetdownloadmanager.com au www.speedbit.com zina free edition za siku 30 kila moja kwenye programu hizo naamini zitaweza kukusaidia ila hiyo resume sio kwa files na tovuti zote