Msaada mtaalamu wa vyakula

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Nashida mmoja tu kubwa nipo kwenye program yangu ya kupunguza mwili( na maanisha sina mtaalamu wakuniongoza) huwa nafanya mazoezi kwa muda wa lisaa limoja hadi na nusu ila si chini ya lisaa limoja( najitahidi kuongeza muda mdogo mdogo coz mara ya kwanza nilkuwa na piga kwa dak 20 tu nipo hoi) Tatizo langu kubwa na pungua ila napungua kwa rate ndugu sana unakuta mwenzi mzima na pungua kilo 5 au ata kilo mbili.

Tatizo langu kubwa kwa sasa ni mpangilio wa vyakula kwa hiyo kama kuna mtaalamu wa hivi vitu naomba anisaidie kupangilia vyakula maana nilimpataga mtu aliniambia yeye mtaalamu wa vyakula akawa ana nishauli nile mlo mmoja nilifanya hvyo matokeo yake nikawa sina nguvu kipindi cha kufanya mazoezi.

Na pia nikipata mtaalamu wa mazoezi naye siyo mbaya kunipa ushauri maana mimi sifanyie mazoezi GYM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...mbogamboga,supu ya mchicha,matunda,mimi huwa nashangaa kuona mdada mnene,unakuta anaagiza chipsi yai na mishikaki,huwa nashangaa mno.....
 
Kula ule ila punguza wanga kwa wingi na vyakula vyenye mafuta mengi.kula sana mboga mboga za majani, matunda na meji mengi yaani kula sana matunda then chakula kula kdg hivo hivo.usiache kula utapata shida nyingine.mazoezi pia usiache hasa jogging

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mtaalamu saana wa vyakula ila wakati unatafuta huyo mtaalamu punguza kula vyakula vya mafuta naamini unavifahamu pia kula milo mingi kidogo kidogo kwa siku ili kuuruhusu mwili kumeng’enya chakula chote na la muhimu zaidi usiache mazoezi ila la muhimu kuliko yote ongeza unywaji wako wa maji


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu jamaa angenia yaani siku nzima mlo mmoja tena kidogo tu daah!! Nlkuwa nateseka kiukwel
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante nitafanyia kazi kwa kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
 
samahani ndugu yangu,nina shida,sielewi mwili wangu ukoje nina umri miaka 19 na urefu 166cm,BMI 18,lakini uzito wangu kg49,nimejaribu njia mbalimbali kwa ajili ya kuongeza mili kidogo ikiwemo lishe n.k,lakini siongezeki,naomba msaada kwani naambiwa kwa urefu uu na kg hizo haviendani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…