Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
Wana jamvi habari za Jumapili,
Ndugu zangu nipo na msichana yapata miaka miwili sasa mkali kinoma macho yake kama anasinzia mweupe kidogo kiuno chake si mchezo tatizo kikojozi.
Mwanzoni sikujua kama ana tatizo ilo mpaka juzi alipochaguliwa chuo ninachosoma mimi tukakubaliana tuchukue chumba nje ya hostel za chuo tukae pamoja
Kwa bed yuko vizuri mno anazungusha kiuno kama feni bovu kama wewe ni mgeni kwa ile tamtam basi utataja yale majina yote 99 ya muumba mbingu na ardhi.
Yani ikipita siku mbili hajakojoa basi jua ya tatu unaoga kojo imekua tabu kwa kweli adi washikaji siwapeleki getto siku hizi tabu tupu.
Leo nimemwambia narudi zangu hostel za chuo akae peke yake basi kalia hadi huruma.
Msaada jamani anayejua dawa ya kuzuia hii kitu ili ata wale watakao kuja kutafuna apo badae wasikutane na balaa ili.
Unajizuiaje kuingia mkuu?ukiona choo ndotoni usiingie.ni mtego
Maombi sala na ibadaUnajizuiaje kuingia mkuu?
CC: Mshana Jr
Lkn mkuu hapo kwenye maombi na ibada haitegemei aliekufundisha kama alikupa mafunzo ya Kimungu au ya upande wa pili?Maombi sala na ibada
Ni kujikosha na kukudanganya kama angekuwa anaamini katika Mungu angekushauri hivyo in the first placeLkn mkuu hapo kwenye maombi na ibada haitegemei aliekufundisha kama alikupa mafunzo ya Kimungu au ya upande wa pili?
Mpiga ramli na mchawi anaposema "tumuombe Mungu" anamaanisha kweli Mungu au mungu!!
WORD!ukiona choo ndotoni usiingie.ni mtego
Bint Wa kaka yangu alkuwa na tatzo km hlo hadi akiwa na miaka 22, akapatiwa dawa .... Sasa hv kaolew
na jamaa anajilia tu kwa raha zake.
Point yangu ni kwamba usimkimbie hlo tatzo linatbika kabisaaa, hebu niPM
Kweli wewe ni janga, haiwezekani badala ya kutatua tatizo unakimbia? Hovyo kabisa, ila haya ndio matokeo ya akili za kivulana. Bwana mdogo nikushauri usimwache Huyo mwanamke na pili hiyo hali aliyo nayo iwe siri yenu nyie wawili.Wana jamvi habari za Jumapili,
Ndugu zangu nipo na msichana yapata miaka miwili sasa mkali kinoma macho yake kama anasinzia mweupe kidogo kiuno chake si mchezo tatizo kikojozi.
Mwanzoni sikujua kama ana tatizo ilo mpaka juzi alipochaguliwa chuo ninachosoma mimi tukakubaliana tuchukue chumba nje ya hostel za chuo tukae pamoja
Kwa bed yuko vizuri mno anazungusha kiuno kama feni bovu kama wewe ni mgeni kwa ile tamtam basi utataja yale majina yote 99 ya muumba mbingu na ardhi.
Yani ikipita siku mbili hajakojoa basi jua ya tatu unaoga kojo imekua tabu kwa kweli adi washikaji siwapeleki getto siku hizi tabu tupu.
Leo nimemwambia narudi zangu hostel za chuo akae peke yake basi kalia hadi huruma.
Msaada jamani anayejua dawa ya kuzuia hii kitu...
Kukojia hakuna ukubwa wala udogo.
Huo ni ugonjwa kama ilivyo malaria, kipindupindu, kisonono, kaswende n.k.
Ndio maana yuko hapa kumsaidia hajamkimbia, hebu tuendelee kusubiria dawa hapahapa jukwaaniWewe siyo REAL GENTLEMEN. Just know that. Mwanamke anatakiwa kuenziwa. Hizo ni kasoro za ndani msaidie tatizo liishe we unataka kumkimbia. Kesho ukimuona kwenye RANGE ROVER unaanza kuleta shobo. BLOOD BASKET!!!!!
Kwani mkojo wake unanuka?