Nunua angalau mahindi matano tu then unanyofoa ndevuAsante sana sema upatikanaji wake sasa izo ndevu za mahindi
Mkuu nimejitaid kwel kuvumilia ila nimeshindwa kojo la mtu mzima ni shidaKwa hio mapungufu ya mwenzako umeamua kuyaweka hadharani
Kwanini umezunguka sana na maelezo mengine useless
Kwa nini usiseme hivi
"msaada dawa ya kuzuia kukojoa kitandani "
Sio vizuri kusemana hivo
Hio ni roho mbaya ikemee
Matatizo ya mwenzako vumilia huku ukitafuta suluhisho taratibu
Naijua kama uko serious nipigie tuone nnamna ya kumsaidia .atapona baada ya muda mfupiWana jamvi habari za jumapili
Ndugu zangu nipo na dem yapata miaka miwili sasa mkali kinoma macho yake kama anasinzia mweupe kidogo kiuno chake si mchezo tatizo kikojozi.
Mwanzoni ckujua kama ana tatizo ilo mpaka juzi alipochaguliwa chuo ninachosoma mm tukakubaliana tuchukue chumba nje ya hostel za chuo tukae pamoja
Kwa bed yuko vizur mno anazungusha kiuno kama feni bovu kama ww ni mgeni kwa ile tamtam basi utataja yale majina yote 99 ya muumba mbingu na ardhi.
Yani ikipita cku mbili hajakojoa basi jua ya tatu unaoga kojo imekua tabu kwa kweli adi washikaji cwapeleki getto cku izi tabu tupu
Leo nimemwambia narudi zangu hostel za chuo akae peke yake basi kalia adi uruma
Msaada jamani anayejua dawa ya kuzuia hii kitu ili ata wale watakao kuja kutafuna apo badae wasikutane na balaa ili
si uweke hapa hapa tu nasie wengine tukikutana na vikojozi tuwatibie.Bint Wa kaka yangu alkuwa na tatzo km hlo hadi akiwa na miaka 22, akapatiwa dawa .... Sasa hv kaolew
na jamaa anajilia tu kwa raha zake.
Point yangu ni kwamba usimkimbie hlo tatzo linatbika kabisaaa, hebu niPM
Naijua kama uko serious nipigie tuone nnamna ya kumsaidia .atapona baada ya muda mfupi.0717 707565Wana jamvi habari za jumapili
Ndugu zangu nipo na dem yapata miaka miwili sasa mkali kinoma macho yake kama anasinzia mweupe kidogo kiuno chake si mchezo tatizo kikojozi.
Mwanzoni ckujua kama ana tatizo ilo mpaka juzi alipochaguliwa chuo ninachosoma mm tukakubaliana tuchukue chumba nje ya hostel za chuo tukae pamoja
Kwa bed yuko vizur mno anazungusha kiuno kama feni bovu kama ww ni mgeni kwa ile tamtam basi utataja yale majina yote 99 ya muumba mbingu na ardhi.
Yani ikipita cku mbili hajakojoa basi jua ya tatu unaoga kojo imekua tabu kwa kweli adi washikaji cwapeleki getto cku izi tabu tupu
Leo nimemwambia narudi zangu hostel za chuo akae peke yake basi kalia adi uruma
Msaada jamani anayejua dawa ya kuzuia hii kitu ili ata wale watakao kuja kutafuna apo badae wasikutane na balaa ili
Naijua kama uko serious nipigie tuone nnamna ya kumsaidia .atapona baada ya muda mfupi
si uweke hapa hapa tu nasie wengine tukikutana na vikojozi tuwatibie.