usiogope,ila hakikisha uweumeshasitisha mshahara kule halmashauri.Hapo utapewa check no mpya so payroll haisumbui
zingatia kwamba uliacha kazi umeshapita mwaka automatically utakuwa huna mshahara means umetolewa kwenye payroll,otherwise kama unapata mshahara mpaka leo na wa muhimbili ukapata mwezi ujao wakigundua hazina ni issue ila kama hupati mshahara hamna shida.