Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,179
- 3,103
Waungwana msaada.
Laptop aina ya HP elitebook.
Gafla imegoma kufanya kazi upande wa mouse,katikati,left na right button pia.
Lakini zile altenative keys na mouse zinakubali kufanya kazi.
Kwenye picha,
Nyekundu zinafanya kazi
Za blue ndio zimegoma kufanya kazi
Lakini nikiwa naiwasha,kabla sijaweka password zote zinafanya kazi,ila nikingiza password tu na pc kuwaka basi hizo za blue zinacha..
Ikiwaka cursor inapotea,mpaka niguse mouse hiyo ya juu karibu na noB ndio hata button light zinawaka.
Majaribio niliyofanya
Nmebonyeza Fn+f5,f9,f7 bado
Nmeupdate pc in general, bado
Na cha ajabu baada ya ku update,nikirestart pc ,haiwaki mpaka mwisho,inafika hatua inasizi inabaki tu weusi